dip pub JF-Expert Member Joined Jul 16, 2014 Posts 389 Reaction score 74 Nov 7, 2014 #1 Gari ni ya mwaka 2000 mafuta ni diesel engine capacity ni 2990 milage 154000 km ipo kwenye hali nzuri bei ni milioni 12. #0714358610 Attachments 20140827_173027.jpg 458.6 KB · Views: 1,127 IMG_20141015_125412.jpg 449.9 KB · Views: 979 IMG_20141015_125435.jpg 496.7 KB · Views: 928 IMG_20141015_125447.jpg 418.9 KB · Views: 886 IMG_20141015_125506.jpg 293.1 KB · Views: 808 IMG_20141015_125555.jpg 139.7 KB · Views: 766 IMG_20141015_125636.jpg 314.4 KB · Views: 762 IMG_20141015_125603.jpg 561.8 KB · Views: 720 IMG_20141015_125735.jpg 322.5 KB · Views: 721 IMG_20141015_125719.jpg 357.6 KB · Views: 751 IMG_20141015_125656.jpg 492.2 KB · Views: 837 IMG_20141015_125709.jpg 330 KB · Views: 839 IMG_20141015_125715.jpg 236.9 KB · Views: 847
Gari ni ya mwaka 2000 mafuta ni diesel engine capacity ni 2990 milage 154000 km ipo kwenye hali nzuri bei ni milioni 12. #0714358610
M mstaarabu22 Member Joined Jun 30, 2014 Posts 49 Reaction score 4 Nov 8, 2014 #2 aina gan ya gal sasa hyo?
V Vianelly Vian JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 337 Reaction score 100 Nov 8, 2014 #3 Isuzu bighon hiyo ni kimeo hatari
M mstaarabu22 Member Joined Jun 30, 2014 Posts 49 Reaction score 4 Nov 8, 2014 #4 Vianelly Vian said: Isuzu bighon hiyo ni kimeo hatari Click to expand... aksante kwa taalifa mkuu,thanx jamii f
Vianelly Vian said: Isuzu bighon hiyo ni kimeo hatari Click to expand... aksante kwa taalifa mkuu,thanx jamii f
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,189 Reaction score 1,324 Nov 8, 2014 #5 mi nimependa cc zake tu yani hii haili mafuta kabisa inanusa tu wale wa vipato vya chini itawafaa sana hii changamkieni
mi nimependa cc zake tu yani hii haili mafuta kabisa inanusa tu wale wa vipato vya chini itawafaa sana hii changamkieni
dibbo Member Joined Feb 18, 2011 Posts 30 Reaction score 1 Nov 8, 2014 #6 Ikizima hio hata uvute na tractor haiwaki yani ni full kimeo
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Nov 8, 2014 #7 Vianelly Vian said: Isuzu bighon hiyo ni kimeo hatari Click to expand... ndio maana bei iko cheap sana
Vianelly Vian said: Isuzu bighon hiyo ni kimeo hatari Click to expand... ndio maana bei iko cheap sana
Goodluck Mshana JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 1,272 Reaction score 1,128 Nov 8, 2014 #8 Mshipa huo...
dip pub JF-Expert Member Joined Jul 16, 2014 Posts 389 Reaction score 74 Nov 8, 2014 Thread starter #9 ipo katika hali nzuri
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Nov 8, 2014 #10 Dah nyie watu mna maneno machafu hatari
Y yuleyulenimewachokaa Senior Member Joined Nov 8, 2014 Posts 146 Reaction score 32 Nov 8, 2014 #11 Nikupe tano fasta
dip pub JF-Expert Member Joined Jul 16, 2014 Posts 389 Reaction score 74 Nov 8, 2014 Thread starter #12 haina maslahi mkuu
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 908 Nov 9, 2014 #14 bushlawyer said: Dah nyie watu mna maneno machafu hatari Click to expand... Hao si wanunuzi.
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Nov 9, 2014 #15 Gari hiyo ni nzuri sana nimeitumia nilipokuwa ughaibuni lakini kwa huku Tz ni ndoa ya kikristo spea zinasumbua sana
Gari hiyo ni nzuri sana nimeitumia nilipokuwa ughaibuni lakini kwa huku Tz ni ndoa ya kikristo spea zinasumbua sana
lutas mkanula Member Joined Nov 3, 2014 Posts 15 Reaction score 0 Nov 9, 2014 #16 Nataka toyota hiace mpya yenye engine ya 2RZ
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,476 Reaction score 389 Nov 9, 2014 #17 Osaba said: Gari hiyo ni nzuri sana nimeitumia nilipokuwa ughaibuni lakini kwa huku Tz ni ndoa ya kikristo spea zinasumbua sana Click to expand... Weweeeeeee umepitiliza.
Osaba said: Gari hiyo ni nzuri sana nimeitumia nilipokuwa ughaibuni lakini kwa huku Tz ni ndoa ya kikristo spea zinasumbua sana Click to expand... Weweeeeeee umepitiliza.
dip pub JF-Expert Member Joined Jul 16, 2014 Posts 389 Reaction score 74 Nov 9, 2014 Thread starter #18 7 haina maslahi mkuu
B Best81 Member Joined Nov 5, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Nov 9, 2014 #19 Mkuu 4.5 tumalize biashara. Si unaona ushuhuda wa wazoefu mkuu ????
dip pub JF-Expert Member Joined Jul 16, 2014 Posts 389 Reaction score 74 Nov 14, 2014 Thread starter #20 E.A.MWAKYUSA said: Nikupe 7 mkuu Click to expand... hiyo hapana mkuu