Mkuu gari utauza tu ila hiyo bei naona kama haijakaa vizur hivi, moja nikuombe tu upitie bei za Magari showroom ujiridhishe bei yake kwa sasa kwa gari za aina hiyo v/s hii uliyoiingiza 3yrs back.Inauzwa:
MAKE: Daihatsu
MODEL: Terios
MODEL NO: GF-J102G
BODY TYPE: Station Wagon
TRANSMISSION: 5 Speed, Manual (4WD)
COLOUR: Black
YEAR OF MANUFACTURE: 2000
ENGINE: K3
ENGINE CAPACITY: 1290cc
FUEL: Petrol
PRICE: 10m Tsh
Imported in 2015 from Japan. Gari ipo Morogoro mjini.
For more information please contact; 0784 386 922; 0756 408 110 or 0713 944 167.
Ni kweli, inaweza kuwa na miaka 3. Imekuwa na matumizi kidogo,almost ni mpya bado. Tuongee kupitia hizo namba za simu, ukihitaji tutaelewana.Terios Kid imetumika nchini kwa zaidi ya miaka mitatu unauza milioni kumi? Wewe uliinunua sh ngapi?
Mkuu gari utauza tu ila hiyo bei naona kama haijakaa vizur hivi, moja nikuombe tu upitie bei za Magari showroom ujiridhishe bei yake kwa sasa kwa gari za aina hiyo v/s hii uliyoiingiza 3yrs back.
Pili madereva wengi siku hizi hawajifunzi tena magari driving schools sababu ya ujio wa gari za Auto (Kanyaga-twende) hivyo wapenzi wa "Manual" sio wengi. Auto unajifunza hata mwenyewe tu.
Tatu kuna "Non-Toyota ~phobia".
Hii gari ni almost mpya, haina tatizo lolote la gear box.achana na bei ya hiyo gari, lakini TERIOUS, CAM ni gari ngumu zaid ya rav4 old model. Tatizo zake ni gearbox lakini ikiwa na gear box nzuri baasi mkataba gari hiyo
Mkuu ulitaka utoe ngapi?. Maongezi yapo. Angalia milage na condition ya mali yenyewe.
Almost mpya gari imported 3 years ago Mkuu?Hii gari ni almost mpya, haina tatizo lolote la gear box.
Karibuni, bado gari ipo.