Gari inauzwa Alteza

Parable

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
192
Reaction score
153


Altezza hiyo wadau inauzwa ipo kwenye hali nzuri sana bei ni 8.5 million ipo Mbeya

Kwa manunuzi piga namba 0783 803 306 au 0784 400848
Karibuni sana
 
Hiyo gari ni nzur sana ila inadaiwa 120000 na trafic sasa hiyo hela anailipa mnunuzi au mwenye gari
 
Mkuu nilikuwa nayo number DE aisee niliteseka nayo kuuza acha tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…