Ukiingia kwa gia hiyo Utalizwa tu,
Ibgia Kimya kimya Zoom au Kupatana.com ukachague huko.
Umakini pia huko unahitajika, kagua gari na Fundi, mnunuzi mfuate mkaongee biashara nyumbani kwake, akikuonyesha kadi kaikague TRA na muombe kitambulisho chake cha serikali