Mkuu kuanzia 6.5mil unapata kitu used from Japan, the cheapest, lakini ni more realiable. Kama ni gari ya kwanza ni vema usichukue used in Tz, huwezi jua historia ya gari, haya ya Japan yanafanyiwa Inspection kabla ya kusafirishwa. Ya Dubai kidogo ni risk, unaweza nunua matatizo ingawa ni cheap.
Jitahidi mkuu.