mwanairinga
Senior Member
- Dec 21, 2015
- 179
- 12
Habari wana jf,
Nahitaji gari haraka kabla ya mwaka moya Toyota Carina Ti Kati ya namba C na D. Mwenye Nayo tuwasiliane Mimi nipo Dar.
Wewe mkongomani nini mwaka moya posa lete contact zako
Karina Ti mkuu ndio nayoitaka!
Habari wana jf,
Nahitaji gari haraka kabla ya mwaka moya Toyota Carina Ti Kati ya namba C na D. Mwenye Nayo tuwasiliane Mimi nipo Dar.
Una undugu na hemed kivuyo wa michezo ITV nini
Habari wana jf,
Nahitaji gari haraka kabla ya mwaka moya Toyota Carina Ti Kati ya namba C na D. Mwenye Nayo tuwasiliane Mimi nipo Dar.
Creata ya mwaka!!
Mkuu kuna cresta...
Habari wana jf,
Nahitaji gari haraka kabla ya mwaka moya Toyota Carina Ti Kati ya namba C na D. Mwenye Nayo tuwasiliane Mimi nipo Dar.
1998 ....
Imetembea kilometer ngapi engine capacity yake (Cc) ngapi?
Ya mwaka gani mkuu!