MTUI, post: 23596441, member: 126345"]Mnapofungua boneti huwa mnamaanisha nn.. Au huwa mnaonyesha kitu gani?[/QUOTE]
Humuwezesha muitaji kuona gari ipo hali gani sehemu ya injini
Hii picha ya chini ni halisi kwel mkuu; hebu angalia mkao wa jengo kwenye background na madirisha yake yalivoshaghalabaghala....umetuunganishia vipande mkuu au ni nn hcho!!? Ebu weka picha ya buti ikiwa wazi