Kabla mtu hajavutiwa kukupigia simu, lazima angalau alione gari lenyewe (picha mbili, tatu, nne zinahusika hapa...), useme gari imeshachapa lapa kilometer ngapi, unatarajia kuliuza kwa shilingi ngapi na kwa sasa gari hilo lipo mkoa gani (kwa urahisi wa kuliona...).Please do the nidiful..