floow JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 411 Reaction score 858 Jul 13, 2018 #1 Kwa anae uza gar aina ya spacial new model... 0719921552 Anipigie ..gar iwe katika hali nzur namba B,C na D Pekee A haitakiwi.. Iwe katika hali nzur Bajet ya muhusika ni 4:5 milion NIMEPANDISHA DAU JAMANI SASA NI 5 million spacial new model
Kwa anae uza gar aina ya spacial new model... 0719921552 Anipigie ..gar iwe katika hali nzur namba B,C na D Pekee A haitakiwi.. Iwe katika hali nzur Bajet ya muhusika ni 4:5 milion NIMEPANDISHA DAU JAMANI SASA NI 5 million spacial new model
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,730 Reaction score 2,392 Jul 13, 2018 #2 Acha kuangalia namba. Inaweza kuwa namba A lakini ikawa vizuri kuzidi D! Hiyo budget yako kwa Spacio usitegemee gari nzuri sana.
Acha kuangalia namba. Inaweza kuwa namba A lakini ikawa vizuri kuzidi D! Hiyo budget yako kwa Spacio usitegemee gari nzuri sana.
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Jul 13, 2018 #3 Kuna gari Ziko mikoani # A utafikiri imetoka Japan Jana, tafuta # D za Dar utashangaa
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,508 Reaction score 13,976 Jul 13, 2018 #4 Eti 4.5m masharti kibao!! Chezea tatu mzuka ipande ifike angalau 9m upate chombo cha uhakika!!
floow JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 411 Reaction score 858 Jul 13, 2018 Thread starter #5 Emilias G said: Eti 4.5m masharti kibao!! Chezea tatu mzuka ipande ifike angalau 9m upate chombo cha uhakika!! Click to expand... Mkuu iyo ni bei ya awal ...lakini chombo ikipatikana yenye ubora ...pesa inaongezwa
Emilias G said: Eti 4.5m masharti kibao!! Chezea tatu mzuka ipande ifike angalau 9m upate chombo cha uhakika!! Click to expand... Mkuu iyo ni bei ya awal ...lakini chombo ikipatikana yenye ubora ...pesa inaongezwa
N nyamkuta Senior Member Joined Mar 17, 2017 Posts 126 Reaction score 96 Jul 15, 2018 #6 Spacio zipo za cc1500 na cc1800,we unataka ipi?