Nauza Gari AINA RAV4 L, mkanda wake mwaka 2000, rangi yake ni nyeusi.
Iko katika hali nzuri na imekua ikiendeshwa na mwanamke.
Bei yake million 11.
Sababu ya kuuza: nimeagiza gari nyingine , sitaweza kutumia gari mbili hali ngumu ya maisha.
Gari hii iko kwenye hali nzuri na unakaribishwa kuja na fundi aikague.
wasiliana na no. 0713 689665