Kaua beiNaona watu wanapita kimya kimya kula tano hapa ya haraka haraka.
Gari aina ya OPA inauzwa kwa bei ya TZS. 8,000,000, ipo Dar es Salaam
imetengenezwa mwaka 2004, ipo katika 'good condition', inavibali vyote, engine capacity ni 1,760cc, muonekano na rangi tafadhali angalia picha.
Kwa mawasiliano nitafute katika namba hii, Sifuri Saba Moja Saba, Nne Nane Tano, Saba Sita Saba...au njoo inbox
Asante na karibuni!!
Even me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee nimecheka sana ubunifu wako mkuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio maana wengine huwa hawapend kuweka bei.Oppa kwa milioni 8 daa aisee kwani zimefika milioni 16 sasahivi