Mazda Antezza!!
Binafsi Nimetumia Mazda Kwa Miaka Minne, na katika kipindi chote sijawahi kupata tatizo lolote.
Ni gari Ngumu, Ila lazima uweze kuitunza katika kununua spea ambazo ni bei mkasi,Bei ya spea iko juu kwa sababu
1. Ni Original kbsa
2.Supplier ni Wachache.
Bora Mazda Mara 100 kuliko Toyota.