kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,897
Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.
Uwiiiiiiiiiiii habareee ya mjiniiii Daimond
Anaonekana bwana...mdada mzuri huyuu...
Na huyo bibi yenu amekauka kama anakula saruji asepe kule. Kitu gani, kutwa kuchwa kutafuta sympathy. Manina zake. Uso umemshupaa kama mwiko wa pilau.
gadna malaya kuna siku mdogo wangu yuko holiday inn alimhudumia na kidemu chake yaani wakachukua chumba mpaka asubuhi
si mara moja
Na kweli utakuja kuozee jela kama ndo hivyo... kwanza Dinazarde keshasema kwamba mtu mali ni yake lakini papuchi ni mali ya umma... kwahiyo hata dushelele nalo ni mali ya umma... ukilitaka la peke yako kanunue dukani kama yapo!!Kwa kwl asikudanganye mtu mume anauma mno,hili gumegume lilikua linamnyanyasa sana Jide basi tu huyu mwanamke nae ana uvumilivu wa aina yake, ingekua wengine hapa tungekua segerea kifungo cha maisha. Mwanamme chupi mkononi, zipu ya suruali haifungi km Gadner stress tupu unampa pigo moja la nguvu ananyamaza milele mamaeeeee, mxieeeeew
Jana inaelekea ulimeza tape wewe lakini leo, mnh! Inaonekana umemeza studio mzima...Yaan dada natural kama memeeeeeeeeeewee kwiii kwiii Daimond anafaidi aiseeee wache wivu utuue tu
In fact, anaingia kwenye chama la watu wasio na stress... haya mambo yao haya, ah... taabu tupu!!!Karibu tena chama cha mabachera braza nafasi yako ya uenyekiti tutakurudishia il ufurahie zaid maana umefanyiwa jail breaking kaka hongera
Hatangazi Radio Tanzania... yeye ni mtangazaji wa radio za mjini!Mimi sikai Dar nasikia ni mtangazaji maarufu mbona was mikoani hatumsikii wala kumjua?
Usinyamaze bhana, you're entitled to free speech... hii ni huru na inayotoa uhuru wa maoni; tiririka uwezavyo ili mradi tu usivunje sheria za nchi... usimtusi mtu lakini akikuzingua na wewe unamzingua hakuna kujitia unyonge!!Mhh...ngoja ninyamaze naogopa kuropoka...
EFM na Maisha Club ni dugu moja...hyo redio efm 93.9 fm mmiliki wàke n nan???
Team wema ikiongozwa na Mrembo by Nature tunawasubir uku, mna vichambo vywnu msijifanye hamuoni
Usinyamaze bhana, you're entitled to free speech... hii ni huru na inayotoa uhuru wa maoni; tiririka uwezavyo ili mradi tu usivunje sheria za nchi... usimtusi mtu lakini akikuzingua na wewe unamzingua hakuna kujitia unyonge!!
Gardner ndio nani tenaa....aaa
Mrembo by Nature kasema hajibu mtu..... Heaven on Earth ye kachoka mwili na roho...hadi vidole vimestack kutype...kalala mapemaaaa...
Team wema ikiongozwa na Mrembo by Nature tunawasubir uku, mna vichambo vywnu msijifanye hamuoni
nimesema sijibu mbulula. alafu wengine nawaheshimu kubishana nao ndo maana naona bora nikae kimya. Kikongweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pito si umeliona lilivyoshiba? ndo toto la kambo la dayamondi
kichambo gani?? cha huyo kibibi desperado? wala sipotezi muda wangu kukijadili manake nakipa kiki. umri ule kimeona watu kimya hawakiongelei huko kwao kimeona kiingie bongo flava? miaka 40 ?? watoe kolabona bibi cheka wa tmk wanume
Aaaah, nilikumis binamu, ndo natok kifungon leo