Gharama zake kaka ni nafuu mnoo. Hii utegemea Aina ya design unayotaka mteja, ukubwa wa eneo lako, na mwonekano Wa eneo lako either steep lope or gental slope.
KWA ushauri wa kitaalam bure: nipigie ndugu tuzungumze: 0714693107
Ni eneo lenye mteremko kiasi ambalo linaruhusu maji kutelemka lkn mteremko wake hauonekani Sana kwa macho. Na hata ukionekana, hauna madhara makubwa katika kufanya leveling.