Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,508
- 14,808
Duuuh kila la kheri kwake.π¨π£ UPDATES π
β‘οΈ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi π¦π· amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars πΉπΏ
β Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa kuiandaa Singida kwaajili ya mechi za awali za CAFCC.
Kama ni kweli na mpira usiwe na siasa tuta shuhudia makubwa sana kwenye sola la tanzaniaπ¨π£ UPDATES π
β‘οΈ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi π¦π· amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars πΉπΏ
β Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa kuiandaa Singida kwaajili ya mechi za awali za CAFCC.
Ndo maana yule kocha wa yanga SAID alisema ligi yetu bado sana sababu. Timu nyingi zinashinda mechi sio ki mbinu bali nje ya uwanjaMaisha yako kasi sana,
Hii ni dalili ligi yetu ni mbovu,
Uchebe naye alirudi tena Singida kisha kafurushwa tena, ina maana hawa makocha wanapata credit kwenye ligi yetu mbovu halafu wakienda ligi zingine baada ya kununuliwa hawana uwezo halisi
Umeniwahi Huyu jamaa hana Mbambamba,japo wakati fulani nilihisi kama alitembelea nyuta ya Nabi ila baadaye nilijiridhisha kuwa makocha waliopita jangwani kipindi cha miaka minne iliyopita wana vitu vya ziada zaidi ya ukocha pekee.Hivyo wana jangwa na wananyika mjipange mnaletewa mafuriko nyumbani,msiseme hamkujua lawama hatutaki.Tupo tayari kurudi Misri, uk,spain,Italy,Brazil,uholanzi urusi na kungine kupata marefa kutuchezeshea michezo yenye janjajanja.Msilale muwe macho wote kwa pamoja.Kama ni kweli na mpira usiwe na siasa tuta shuhudia makubwa sana kwenye sola la tanzania
Dukaπ¨π£ UPDATES π
β‘οΈ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi π¦π· amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars πΉπΏ
β Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa kuiandaa Singida kwaajili ya mechi za awali za CAFCC.
View attachment 3393018
Hayo maneno ya nje ya uwanja kayaongea wapi? Lete video tuone. Alichokisema ni ligi kutokuwa na timu nyingi zenye wachezaji wenye quality zinazoweza kuleta upinzani hivyo timu inakosa consistency katika mashindano ya kimataifa.Ndo maana yule kocha wa yanga SAID alisema ligi yetu bado sana sababu. Timu nyingi zinashinda mechi sio ki mbinu bali nje ya uwanja
Leteti timu yako tuitie tenaNdo maana yule kocha wa yanga SAID alisema ligi yetu bado sana sababu. Timu nyingi zinashinda mechi sio ki mbinu bali nje ya uwanja
Haya mambinu ya nje ya Uwanja Simba HAYAWEZI ndio maana Nyuma Mwiko anabeba vikombe vya ndani kwa mbinu na Simba anakinukisha Afrika huko kwenye mbinu za uwanjani tu!Ndo maana yule kocha wa yanga SAID alisema ligi yetu bado sana sababu. Timu nyingi zinashinda mechi sio ki mbinu bali nje ya uwanja
Kocha aliyewahi kufundisha Yanga kisha akarudi Tanzania kuifundisha kwa mafanikio nadhani ni mmoja tu Hans Van Plujim. Ngoja tusubiri Miguel Gamondiπ¨π£ UPDATES π