Gamestone Tunduru inapatikana ?

Joined
Jun 18, 2025
Posts
84
Reaction score
149
Wakuu habari za uzima , kwa wenyeji wa Tunduru Mkoani Ruvuma naomba kuuliza kuhusu gamestone zinazopatikana kwa wingi huko na biashara ikoje kwa kununua na ikitokea nikija na machine za kukata na kusafisha itakuwaje pia.

Je Ni kweli gamestone yote inapatikana hapo Tunduru au nyingine inavuka kutoka Msumbiji
 
Ni Gemstones mkuu siyo Gamestone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…