Wakuu Habari Za Mida?? Tafadhari Husika na Kichwa cha Uzi Huu...
Kwa wale ambao wanacheza Game la PUBG jiunge na Grup la whatsapp Tukaunde kikosi
PUBG MOBILE TZ
Karibuni sana... Kama Unalo game hili na Unahiitaji Marafak zaidi Jiunge pia Kwa wale ambao wanahitaji Maelekezo zaidi kuhusu Game hili Nao Tukutane Kundin link
PUBG MOBILE TZ
NB: Kwa Wenye TECNO W4, TECNO L9,TECNO L9 PLUS NA Simu zingine zenye Version zilizo chini Game hali Support hivo usije..
View attachment 868069