ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Km huna Simu janja Ina maana Unaingilia jf na simujinga au komputa mpakatoWengine hatuna simati foni
Ok.ila Cha msingi ziwe za design Kama hio sio ngumu zana satisfied gamesGame ziko nyingi mbona! [emoji848][emoji848]
Unapiga gambe kuanzia saa 10 mpk saa moja na nusu unaenda kwa familia yako mkuuNiache kupiga gambe na wadau nifanye mambo ya kitoto kama hayo, embu kua kidogo
Nina miaka 28..na NI mwajiriwa mwenye mke na mtoto mmojaKwani una umri gani mkuu?
Nina kazi inaanza saa 07:30 inaisha 9:30...baada ya kutoka kazini ninakunywa pombe hujapata kuona baadae Sana Lazima nirudi kwangu kuangalia taarifa ya habari hapo tunakula na shemeji yako Huku tukicheza gameUkiwa huna majukumu raha sana aiseee.
HahahaaaaNina miaka 28..na NI mwajiriwa mwenye mke na mtoto mmoja
Kumbe ulipata Ajira Hongera Ndege John.Nina miaka 28..na NI mwajiriwa mwenye mke na mtoto mmoja
Si wanasema ukizeeka unarudi utotoni? Au?Miaka 60 nifanye huo utoto