Kwa wakazi wa Mwanza pekee
Galaxy Tab 7'' inauzwa 650,000/= imetumika wiki mbili iko na boksi lake na accesories zote hata nylon ya kwenye screen haijatolewa. nilinunua kwa 1,000,000/=
Model ni GT P3100, inasupport 3G mtandao wowote pia ina uwezo wa kupiga simu whatsapp nk.
Mnunuzi aliyetayari piga namba 0767321123.
Dokezo: Hakutakua na discount