Ukweli mimi nimekata tamaa kama walibya wataweza kumng'oa Gaddafi maana anawaua sana kama wahaya wanaua kumbikumbi. sasa watu wameshikwa na uoga nasikia hata wanaingia mitaani kum-support ni sababu ya kuogopa kuuliwa na mamluku. kwa hali hii katika siku saba zijazo Gaddafi atakuwa amejitangazia ushindi wa uhakika, yaani leo mchana nimeshindwa hata kula kwa huzuni