G55 kama wamechanganyikiwa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,253
Reaction score
14,149
Naona mchomi ameandika ktk x yake yeye ni mbunge wa chadema 2025- 2030 ili hali hajapitishwa hata chama ambacho ndio chenye mamlaka, au kuenguliwa na tume au kushindwa kabisa na ccm.
Bado siwaelewi
 
Wenzako wanasukuma ajenda wapate kuungwa mkono wagombee watinge mjengoni.

Wewe unatumalizia bado bila tija yoyote.
 
ukiona hivyo na kwa hizi sarakasi zao zote hapo ccm imeshawahaidi kitu ndio maana wanajiamini hivyo.. hawajali inaweza kuwa wamepewa ahadi hewa na ccm na hawa ndio vidampa wasiojali lolote litakalowakuta wengine hata kama wengine kufa na wafe tu au kuumia si kitu kwao ila wao ni lazima wapate ulaji,cheo na madaraka kwa gharama yoyote hata kwa damu za wengine zitamwagika na kamwe watu dizaini hii hawapo kwa ustawi wa nchi na taifa isipokuwa matumbo yao tu.!
 
Matumbo55 wameanza kuchanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…