Habari wadau wa JF!
Kuna Mzigo huu hapa matata upo sokoni:
Fuso:Bei Tsh 7500 ($32,700)
Engine 6D16
Distance 258,300km
Displacement 7540kms
Vibali vyote vipo, mzigo upo Dar Es Salaam.
Dalali ni Dalali tu hiwe Nyumba ,gari,kiwanja, chochote kile ukija ukitaka tukutafutie mteja tunakutafutia mradi isiwe mali ya wizi ukija na offer nono cc tunapiga kazi.Kazi yetu ni kuunganisha wateja na wauzaji.