J james nderimo Member Joined Jul 7, 2011 Posts 20 Reaction score 8 Jan 21, 2014 #1 Habari wana Jf, naomba kujuzwa kuhusu fursa za kuwa mwandishi wa vitabu. Mfano🙁novel, ujasiriamali). Je soko lipo?? La wasoma vitabu tanzania? Na taratibu zipi hufwata mpka kitabu kichapishwe. ?
Habari wana Jf, naomba kujuzwa kuhusu fursa za kuwa mwandishi wa vitabu. Mfano🙁novel, ujasiriamali). Je soko lipo?? La wasoma vitabu tanzania? Na taratibu zipi hufwata mpka kitabu kichapishwe. ?