Haruna Mapunda
Member
- Sep 10, 2017
- 7
- 18
Acha utapeli Mkuu, ushastukiwa kama kampuni wanakufuatilia na utakushughulikiwa, Fanya kazi halali mdogo wangu..Jiunge na selcom Tanzania kupitia wakala HARUNA kwa tsh 5000 nawewe uweze kusajiri wengine na kufurahia kila ukiunga mtu tsh5000 pia ukinunua mda wa maongezi unarudishiwa asilimia 4 ukiuza mda wa maongezi unarudishiwa asilimia4 unarusiwa kufanya miamala yakipesa
UKIHITAJI INGIA INBOX KWANGU
AU WASILIA NAMI KWA NAMBA HII:
0784-139-052
Au tumia what's app kwa kutuma namba hii:
0677281669
Mkuu Si uende UKALIME? mbona unafanya utapeli kiasi hicho. hakuna Adress ya aina hiyo mkuu..na nyie si ndio mnasambaza sauti( AUDIO) Kuhusu utapeli wenu huo...ni swala la mda tu..kuna wenzako wameshashughulikiwa leo hii..NCHI HAIWEZI ENDESHWA KWA UJANJA JANJA WENU Kijana!!!
Angalia huo nimemunga mie sijawahi kuwa tapeli hata siku moja
Hyo elfu tano inaenda wapi? Mchanganuo wake ukoje? Kama ww ni agent hyo pesa inalipwa kupitia mfumo gan utakaoniridhisha? Hapo naona app, vipi nikihtaj kuw agent kwa zile mashine zao utaratbu ukoje?
Hii nini jama mie sio taperi brother
Na poa hio hela ni yausajili
Huko kwako unakuja ujumbe wa kwamba welcome to selcom
Tumia namba ya simu
Hujajibu swali ipasavyo. Didn't I make myself clear?Na poa hio hela ni yausajili
Mkuu we ni askari?? Maana umembana c kitoto[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]embu eleza vizuri hiyo 5,000 ni ya kwako tu Selcom hawaijui au? tunalipia kujiunga kwenye selcom ya simu kama unavyoeleza bila kupata EFD receipt?
Toa maelezo yaliyonyooka hapo
Kumbe mzigo unapatikana freely kabisa [emoji15] [emoji15]We jamaa ni tapeli acha kutaka njia ya mkato.
Ni hivi hicho kitu yeyote anaweza fanya ingia PLAYSTORE search SELCOM idownload hiyo app then fuata maelekezo ya kujisajiri na utaona mpaka maelekezo jinsi ya kuongeza salio kwa mitandao yote. Tena nakushauri ukiongeza salio tumia airtel makato kidogo tofauti na tigo na Voda.
Mi naomba nifahamishe commission ya hizo Huduma za malipo kwenye selcom kama luku,dstv,m-pesa n.kJiunge na selcom Tanzania kupitia wakala HARUNA kwa tsh 5000 nawewe uweze kusajiri wengine na kufurahia kila ukiunga mtu tsh5000 pia ukinunua mda wa maongezi unarudishiwa asilimia 4 ukiuza mda wa maongezi unarudishiwa asilimia4 unarusiwa kufanya miamala yakipesa
UKIHITAJI INGIA INBOX KWANGU
AU WASILIA NAMI KWA NAMBA HII:
0784-139-052
Au tumia what's app kwa kutuma namba hii:
0677281669