tarmo deuxon
New Member
- Apr 18, 2018
- 3
- 1
UmachingaOfici = office
Ungeeleza majukumu wanayotakiwa kufanya watu wangekuja mbio kuliko kuwaacha na maswali mengi..
Hata kama ni kutembeza hizo dawa
Mama yanguu!, naona kabisa mtu anaenda kupigwa hapa[emoji848][emoji848][emoji125][emoji125][emoji125]
hiyo ni laki tatu na sitini kwa siku, yaani hata GGM kule Geita hawatoi mshahara kama huo
360,000 × 30 = milioni karibu kumi kwa mwezi
Hiyo M50 per night ni mbegu au fedha??Woga wako ndo umaskin wako ndgu, watu wanatengeneza milion 50 per night in network marketing[emoji383]
Zama zimebadilika ndgu
Kwa hi hi Tanzania ya Viwanda😁acha kupotosha watu.Woga wako ndo umaskin wako ndgu, watu wanatengeneza milion 50 per night in network marketing[emoji383]
Zama zimebadilika ndgu
Charity begins at home.Anza na wanafamilia na wanaukoo wako..Hebu imagine kila mtu kwenye ukoo akiwa anamake 360k kwa siku si mtakua mbali sanaWoga wako ndo umaskin wako ndgu, watu wanatengeneza milion 50 per night in network marketing[emoji383]
Zama zimebadilika ndgu
Emu tuthibitishie kwanza mafanikio yako mpaka ndo tukuelewe, otherwise ni upuuzi tu wa KiafricaCharity begins at home.Anza na wanafamilia na wanaukoo wako..Hebu imagine kila mtu kwenye ukoo akiwa anamake 360k kwa siku si mtakua mbali sana
Tena kwa sababu wewe ndio founder ukoo mzima utakuheshimu sana na utakua mfano wa kuigwa..Wape kwanza hao wengine shavu
Ukisikia unaitwa kwenye fursa, basi tambua wewe ndio fursa
Emu tuthibitishie kwanza mafanikio yako mpaka ndo tukuelewe, otherwise ni upuuzi tu wa Kiafrica