Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
MILIONI 12 MEZA TU?Karibu katika uzi huu maalum kwa ajili ya biashara ya furniture...
Nitakuwa nauza furniture mbalimbali kama sofa, dinning table, vitanda, kitchen cabinets sambamba na makabati bei ya mnada (rafiki kwa mtanzania)
Tembelea uzi huu ili kupata mahitaji kwa ajili ya nyumba au ofisi yako
Bei zetu ni rafiki kwa kila mtanzania wa kipato cha kawaida
View attachment 1236573View attachment 1236574View attachment 1236575View attachment 1236579View attachment 1236581View attachment 1236583View attachment 1236584View attachment 1236586
sofa bed ikiwa na side lamps pamoja na kile kistuli kirefu cha pembeni ni sh ngapi?
Hodi humu ndani.
Wasalaam.
Mkuu Marvin Pm, weka Coffee table tuone na zinaendaje?
Hiyo bei pamoja na Godoro?
Coffee tableHodi humu ndani.
Wasalaam.
Mkuu Marvin Pm, weka Coffee table tuone na zinaendaje?
University sale ....[emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782]Karibu katika uzi huu maalum kwa ajili ya biashara ya furniture...
Nitakuwa nauza furniture mbalimbali kama sofa, dinning table, vitanda, kitchen cabinets sambamba na makabati bei ya mnada (rafiki kwa mtanzania)
Tembelea uzi huu ili kupata mahitaji kwa ajili ya nyumba au ofisi yako
Bei zetu ni rafiki kwa kila mtanzania wa kipato cha kawaida
View attachment 1236573View attachment 1236574View attachment 1236575View attachment 1236579View attachment 1236581View attachment 1236583View attachment 1236584View attachment 1236586
University sale ....[emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782]
Ni offer maalum kwa wanachuo wote,...kupata vitanda pamoja na magodoro kwa bei rafiki kwa mtanzania ... Tutauza vitanda ambavyo vipo tayari.
Turn on notification kufuatilia Kitanda gani kipo tayari ili uwahi kubeba...
Bei zetu ni Kama zifuatazo
Bed 5x6 ..vitaanzia .285,000/=
Bed,4x6....vitaanzia 230,000/=
Offer yetu itaanza 26/10/2019 mpaka 6/11/2019.....
Payment on delivery accepted
WAHI SASA OFFER HIZI MUDA NI MCHACHEView attachment 1244799View attachment 1244800View attachment 1244801
Hizo sample bossMkuu, ninaomba upost masofa springed, Sufi na madoido ya hivyo na bei zake.
Pamoja na godoro?
Pamoja na godoro?
Kazi nzuri. Workshop yako iko wapi?