Duuu...ninavyopenda vitu vitamu naomba tu unipikie msosi mtamu unitumie hata kny simu.Helo wapendwa wa madikodiko
Ngoja niwapeni siri moja
Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani.
Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati
Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi sijui litakuwa laki ngapi kwa nutrients zilizopo.
Sasa Leo ngoja niwape formular ya kufaidi parachichi lako
Mahitaji
Parachichi moja
Tango moja
Nyanya
Kitunguu
Giligilani majani matano
Limao kipande
Chumvi
Apple cider vinegar
Jinsi ya kutengeneza
Unakata kata kama kachumbari then unamix
Leo sina picha nipo job nikitengeneza badae nitarusha
Thank me later enjoy your salad!
Karibu mkuuDuuu...ninavyopenda vitu vitamu naomba tu unipikie msosi mtamu unitumie hata kny simu.
Yaani parachichi na giligilani kwenye kachumbari sio mchezo.uweke na yai la kuchemsha sasa weweeKuna siku tulikua na function ofisini basi rafiki yangu Mkenya huyo akawa anamuelekeza caterer namna atengeneze kachumbari then aweke parachichi achanganyie mwanzoni I was like what [emoji849][emoji849]
Baadae alivyoileta ooh my God niliifurahia saaana
Kama nakuelewa ila gligli siijui nioneshe pichHelo wapendwa wa madikodiko
Ngoja niwapeni siri moja
Parachichi ni mojawapo ya matunda tajiri duniani.
Yaani kama huli parachichi jua huna Bahati
Mungu kaibariki sana Tanzania ulaya parachichi sijui litakuwa laki ngapi kwa nutrients zilizopo.
Sasa Leo ngoja niwape formular ya kufaidi parachichi lako
Mahitaji
Parachichi moja
Tango moja
Nyanya
Kitunguu
Giligilani majani matano
Limao kipande
Chumvi
Apple cider vinegar
Jinsi ya kutengeneza
Unakata kata kama kachumbari then unamix
Leo sina picha nipo job nikitengeneza badae nitarusha
Thank me later enjoy your salad!
Ukila tu mayai ya kuchemsha nakupa off, ukapumzike nyumbani, unaweza ukachafua hali ya hewa ofisiniYaani parachichi na giligilani kwenye kachumbari sio mchezo.uweke na yai la kuchemsha sasa wewee
Ahahaaa Fala weweUngekuwa unapenda mb*o kama unavyopenda kula sisi wanaume wa JF tungefaidi sana![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahahaaa Fala wewe