Furahi day - Be Happy

bora we foleni ya msimu
wenzio tunaokaa Kimara foleni ni yetu daily kwenda na kurudi
so raha jipe mwenywe usisubiri kupewa

Mkuu nikweli ila nikifikria kinachofanywa na hawa wabunge wa bunge la katiba kutoka kuanza kwao mara kuiba kura mara posho harafu wanatujazia magari hap mjini! all in all nashkr weekend ndo isha anza.
 
ukisubiri wayatimize unayoyahitaji ili ufurahi,utasubiri ssana..furaha yako iko ndani yako
 
ukisubiri wayatimize unayoyahitaji ili ufurahi,utasubiri ssana..furaha yako iko ndani yako

Naanza sasa hiv kufurahi karbun.
 

Attachments

  • 1392992040212.jpg
    54.4 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…