Furaha ya Ndoa


Sababu zipo nyingi sana Mkuu BAK.
Lakini naamini kama Mke wako amekomaa akili hawezi kufanya vituko vilivyopitiliza.
Maana ukishajua kwamba mke wako ana udhaifu unajitahidi kumpa muda, kama ana amefundwa vizuri kwao ni lazima atajirudi tu mwenyewe. Anaweza akakujibu vibaya asubuhi lakini jioni ukirudi unakuta kakenua meno anajichekesha ili usiendeleze mtiti..Yaani ova watoto wadogo, wewe ni kunyamaza tu na kuwa mpole.

NB: Japo mwanamke anayeweza kuchukuliana na mume wake ni yule aliyefundwa vizuri kwao,
Ndiyo maana huwa hatukimbilii tu kuona kila mwanamke kwasababu tu anaweza kuzaa watoto (Hii haipo)
 
Nitakapooa hii thread itakuwa njema sana, hasa nikipata anayejitambua itapendeza zaidi.

Mwanaume nimekuelewa.
Thanks brother
 
BAK #9 Imebidi nicheke kidogo ....kiwiliwili
All in all kuna cha kujifunza.. Wanaume mkuye huku kuna mada muzuri
 
Kipengele cha Pili (2), Sita (6), Nane (8), Kumi na Moja (11), Kumi na Mbili (12), Kumi na tano (15), Ishirini (20), Ishirini na Moja (21), Ishirini na tano (25), na Kipengele cha Ishirini na Saba (27).

Nakubali
 
Reactions: BAK
Hapo ngoma draw siyo wewe simu yako asiguse lakini wewe upekuwe simu yake kila siku kutafuta ushahidi wa kuwa na mchepuko.

Yote kwangu sawa kabisa ila no 04 hapo simu yangu haimuhusu yake hainihusu kila mtu na simu yake .
 
Vilivyobaki vyote HUVITAKI lol! hahahahahaha. Si ajabu hivyo ambavyo huvitaki ndiyo mrembo atakwambia hivyo ndiyo bomba sana.

Kipengele cha Pili (2), Sita (6), Nane (8), Kumi na Moja (11), Kumi na Mbili (12), Kumi na tano (15), Ishirini (20), Ishirini na Moja (21), Ishirini na tano (25), na Kipengele cha Ishirini na Saba (27).

Nakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…