Furaha ya Ndoa

maneno mazuri haya ubarikiwe sana
 
Uliyeandika hii thread ni KE kama ni ME utakuwa hujaingia kwny ndoa.
 
Reactions: BAK
Yote kwangu sawa kabisa ila no 04 hapo simu yangu haimuhusu yake hainihusu kila mtu na simu yake .
 
Reactions: BAK
Ni kweli kabisa Mkuu, ukisikia story za waliomo kwenye ndoa kuhusu mambo mbali mbali yanayosababisha kutoelewana utashangaa. Kama vile kugegedana mara kwa mara wakati wa uBF na uGF, outings za nguvu mara
mara mbili au hata zaidi kwa wiki lakini wakishafunga PINGU ZA MAISHA tu haya yanayeyuka. Baadhi ya warembo papuchi hatoi kama ilivyokuwa kabla ya ndoa visingizio vya kila aina na baadhi ya njemba outings za nguvu na mrembo ZINAYEYUKA outings zinakuwa na WASHKAJI.

Ndoa ni ndoano Mkuu baadhi ya waliomo wanataka kutoka na walio nje wanataka kuingia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…