Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,013
Tupe uzoefuFirst seat
Mm nna miaka 12 tu mkuu... sina uzoefu wowote.Tupe uzoefu
Kweli mkuu mna umuhimu sana......Hahahaa ndio muone thamani yetu
ha ha ha ha sawa mkuuMm nna miaka 12 tu mkuu... sina uzoefu wowote.
Njoo Arusha mkuu,kama unawezafika muda huu utakuwa umefanya vizuriUko wapi tuma Nauli nije nikupoze moyooo
Njoo Arusha mkuu,kama unawezafika muda huu utakuwa umefanya vizuri
ha ha ha ha kopa nauli mpaka hapa moshono kona nije nikuchukueTuma Nauli Niko hapa uswahilini mwisho wa haisi
Jana na leo unaanzisha nyuzi makini kidogo vipi umeacha kunywa bia za bei rahisi nini?Mchepuko umesafiri,bi mkubwa yuko mbali,kwenda kupata moja moto moja baridi naona uvivu...nimebaki mpweke kama kifaranga cha kuku kilichoachwa na mama yake.Wanawake mna umuhimu sana katika kuleta furaha ya mwanaume.
Tuwape pongezi,wanatufanya sisi wanaume tuwe watulivu100%
ha ha ha hafinancial services wangu umeamini haya ninayo kwambiaga sasa.
Nikweli mkuuTuwape pongezi,wanatufanya sisi wanaume tuwe watulivu
ha ha ha ha haJana na leo unaanzisha nyuzi makini kidogo vipi umeacha kunywa bia za bei rahisi nini?