Fundi wa vifaa vya umeme

Kitimbwisi

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
155
Reaction score
72
Kama una kifaa chako kinachotumia umeme chochote kile, ni kibovu na umesha kikatia tamaa kuwa hakitopona na unakipenda, basi usikitupe wasiliana na fundi atakaye kifanya kifaa hicho kifanye kazi tena kupitia nambari 0678772552.
Malipo yatafanyika baada ya kuridhika kimepona, usitoe pesa yako bila kujiridhisha kuwa kimepona.
Fundi anapatikana Dodoma mjini.
Ila kwa walio mikoani tunaweza kujua jinsi gani ya kukiagiza kifike ili kiponeshwe.
Karibuni sana.
 
Kiponeshwe


Anyway natamani ungekuwa dar maana mkoani cwez kukutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…