Fundi wa macbook anahitajika.

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Nina mac book pro 2018 retina touch bar wakati naifungua asubuhi nili push screen na kidole ikunjuke hapo apo ikaweka carck na kuzima display crack inaonekana nikiwasha kompyuta nikizima haizonekani.
nahitaji fundi mwenye kujua jinsi ya kufixi au kama ni kuweka display mpya.
uwe dar es salaam,
 
Pole Ndugu. Vuta tu subira, watakuja
 
Craxk yebyewe hiyo apo inaonekana baada ya kiwasha laptop
 
Kama upo Dar kuna Fundi tandika uliza kituo cha basi za Makumbusho zenye ufito mwekundu na sio skybkue ukifika maeneo hayo naonaga jamaa anaofisi anajiita fundi wa hivyo Vifaa(Mac) ila kama upo mkoani sifahamu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…