Ni yule fundi bingwa wa majiko yanayotumia gas, napatikana gongo la mboto mwisho kwa tatizo lolote la jiko lako la gas popote ulipo nitarekebisha jiko lako kama uko DAR ES SALAAM bofya no 0715673024 nitakufata ulipo na kwa wale waliopo nje ya dar bofya +255715673024 utapata huduma popote ulipo.
kwa hilo vumbi huwezi ukawa upo serious mkuuNIMEKUSOMA MTAALAM N'A WEWE UKIHITAJI MAJIKO YA GAS JUU YANA CERAMIC USISITE KYWASILIANA N'A MIMI,NNA MAJIKO USED MAZURI SANA TOKA DENMARK,BEI 350,000
Spare Sina Ila nauza sanaa part za mafriji,mkuuiIla Kama una issa za partez za Majiko niambie inbox unaweza pataoooh saafi kaka nimrekusoma vp vifaa vya majiko kama spare unazo pia??
Vumbi lipi....mkuukwa hilo vumbi huwezi ukawa upo serious mkuu
NTAKUTUMIA EMAIL YANGU AU UNI INBOX UNIPE LIST ZA SPARE HIZO........ILA SPARE ZA MAFRIJI NAUZA NI KAMA CONDENSORS,GAS,RELAY,OIL,VITU VINGI TU...HADI COMPRESSORS...ILA NIPE MCHONGO WA SPARE ZA MAJIKO...MKUUspare za majiko aina zote zimekuwa hadimu sokoni ungekuwanazo hizo zinasoko kubwa kaka
kwenye majiko mkuu (picha), wateja wengi wanapenda vitu vinavyokuwa na hali nzuri hata kimuonekano mkuuVumbi lipi....mkuu
MIMI NAUZA USED NAUZA KWA BEI ZA JUMLA WATU WA MIKOANI,WENYE MADUKA MAGOMENI....ETC NAWAUZIAGA.....SUALA LA MUONEKANO KUSAFISHA BIDHAA MUDA HUO SINA....ILA NAJUA N'A WATEJA ZANGU WANAFAHAMU NAWAUZIAGA BIDHAA IMARAkwenye majiko mkuu (picha), wateja wengi wanapenda vitu vinavyokuwa na hali nzuri hata kimuonekano mkuu
poa mkuuMIMI NAUZA USED NAUZA KWA BEI ZA JUMLA WATU WA MIKOANI,WENYE MADUKA MAGOMENI....ETC NAWAUZIAGA.....SUALA LA MUONEKANO KUSAFISHA BIDHAA MUDA HUO SINA....ILA NAJUA N'A WATEJA ZANGU WANAFAHAMU NAWAUZIAGA BIDHAA IMARA
N'A ZA UHAKIKA.....VUMBI KUWEPO ISIKUOGOPESHE MKUU
Karibu sana mjasiriamali mwenzangu!poa mkuu
nashukuru mkuu, oven inayotumia gas inaendaje mkuu maana nimejikita huku kwenu kuku wa kutosha.Karibu sana mjasiriamali mwenzangu!
Mkuu ninayo mashine ya kuwaoka/kuchoma kuku.....ni mpyaaa....unaweza wapanga kumi Kama 30 kwA Wakati mmoja....Inatumia gas TUnashukuru mkuu, oven inayotumia gas inaendaje mkuu maana nimejikita huku kwenu kuku wa kutosha.
Niko kondoa ila niliyokuwa nahitaji ni ya matumizi ya nyumbani tu. ila hope ntakuchek soon maana nafikiri kufanya kitu ambacho naweza hitaji hiyo mashineMkuu ninayo mashine ya kuwaoka/kuchoma kuku.....ni mpyaaa....unaweza wapanga kumi Kama 30 kwA Wakati mmoja....Inatumia gas TU
Naiuza million tatu .....wee uko wapi Sahivi mkuu...
Ok.....Ila hii jiko lina oven pia ujue hayo nliyotupia picha.....uko kondoa mjini au kulikuwa na mama mmoja wa kichaga anaitwa happy alikuwa kondoa ni mpiganaji sana ashachukuwa sana vifaa kwetu n'a kuja uza huko,Ila kwA sasa Yuko kahamia kahamaa anapigana na maisha....Niko kondoa ila niliyokuwa nahitaji ni ya matumizi ya nyumbani tu. ila hope ntakuchek soon maana nafikiri kufanya kitu ambacho naweza hitaji hiyo mashine
Niko mjini mkuu pamoja na kuwa mishe nyingi napigia maeneo ya nje ya mji. huyo sijamfahamu ila kuna duka moja karibuni nilipita lipo jirani na soko la zamani nilikuta ila sikuridhishwa nalo. sidhani kama kuna sehemu nyingineOk.....Ila hii jiko lina oven pia ujue hayo nliyotupia picha.....uko kondoa mjini au kulikuwa na mama mmoja wa kichaga anaitwa happy alikuwa kondoa ni mpiganaji sana ashachukuwa sana vifaa kwetu n'a kuja uza huko,Ila kwA sasa Yuko kahamia kahamaa anapigana na maisha....
Ok...we angalia fursa lazima utazipata tu....Niko mjini mkuu pamoja na kuwa mishe nyingi napigia maeneo ya nje ya mji. huyo sijamfahamu ila kuna duka moja karibuni nilipita lipo jirani na soko la zamani nilikuta ila sikuridhishwa nalo. sidhani kama kuna sehemu nyingine