naowaje mwanamke mwenzangu afu kama ww umejifunza kushona ukubwani sio wote watu wameanza kushona darasa la tatu sembuse miaka 18 mpaka 25 mimi nnaye hitaji fundi sijafika hata 24 nijiri fundi mtu mzima sana ili iweje???
Sent using
Jamii Forums mobile app