Yani hivyo tu ndo tangazo tayari?? Ngoja nikusdie ..uwage unaweka hata na kazi ulizowahi kufanya awali ..ili mtu aweze jua hata uwezo wako katika ujuzi huoo.. Yamkini anaweza kushawishika ..ingawa picha unaweza iba kokote tu ila inaweza saidia hamasisha watu