Fuga App Inakuja Hivi Karibuni

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
201
Simamia shamba lako la kuku kwa urahisi na kisasa kwa kutumia Fuga app itakayokusaidia kutunza kumbukumbu kiurahisi ,kupunguza matumizi yako na kupata faida zaidi kwa kupata ;

Ratiba Maalum za Ulishaji kulingana na idadi na aina ya kuku wako
Pata ukumbusho wa Chanjo kupitia SMS ili usisahau kuhusu chanjo

Jua lini chakula cha kuku kitaisha lini ili ujipange mapema

Kufahamu gharama za kuku kabla hujaanza ufugaji ili usiishiwe na pesa katikati ya mradi

Fuga App itakua BURE kabisa na rahisi kutumia

Itapatikana hivi karibuni kwenye Google Play Store
 
Congratulations
 
Hongera sana mkuu na hongera Tena!

Lakini nikuambie Ile research niliyokuahidi kuwa nitaifanya kati ya mayai yote Tisa yaliyo totolewa Saba wote nimepata majogoo na kule niliyotenga kama majike kati ya mayai 13 yaliyo totolewa majike Yako 9 majogoo3 kimoja kilikufa kikiwanbado hakijajulikana.


Njia hiyo sio kwamba ni uhakika100% ila angalau husaidia Kwa kiasi chake
 
Safi sana,hongera Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…