ElectronicSalim Member Joined Sep 3, 2011 Posts 48 Reaction score 17 Jun 6, 2018 #1 Mambo vp wakuu, Hivi kwa hapa Dar es Salaam wapi nitapata huduma ya fuel injector cleaning ? Najua mafundi wengi wanaweza kusafisha fuel injector lakini naulizia sehemu ambayo wanasafisha fuel injector kwa kutumia mashine.
Mambo vp wakuu, Hivi kwa hapa Dar es Salaam wapi nitapata huduma ya fuel injector cleaning ? Najua mafundi wengi wanaweza kusafisha fuel injector lakini naulizia sehemu ambayo wanasafisha fuel injector kwa kutumia mashine.
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,517 Reaction score 9,437 Jun 6, 2018 #2 Ngoja waje watujuze...me mwenyewe nahitaji fundi wa kuzisafisha ila nipo arusha
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,064 Jun 9, 2018 #3 Nenda hapo Ubungo Riverside kuna ofisi za Nodco utafanyiwa kazi ya uhakika
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,378 Reaction score 1,245 Nov 15, 2021 #4 Mkuu ulipata hiyo huduma?
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,378 Reaction score 1,245 Nov 15, 2021 #5 mmteule said: Nenda hapo Ubungo Riverside kuna ofisi za Nodco utafanyiwa kazi ya uhakika Click to expand... Hawa jamaa wapo kwa Mwanza?
mmteule said: Nenda hapo Ubungo Riverside kuna ofisi za Nodco utafanyiwa kazi ya uhakika Click to expand... Hawa jamaa wapo kwa Mwanza?
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,378 Reaction score 1,245 Nov 15, 2021 #6 Boeing 747 said: Ngoja waje watujuze...me mwenyewe nahitaji fundi wa kuzisafisha ila nipo arusha Click to expand... Mkuu Boeing 747 , ulifanikiwa kupata hii service ya kusafisha fuel injector?
Boeing 747 said: Ngoja waje watujuze...me mwenyewe nahitaji fundi wa kuzisafisha ila nipo arusha Click to expand... Mkuu Boeing 747 , ulifanikiwa kupata hii service ya kusafisha fuel injector?
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Nov 28, 2021 #7 kayanda01 said: Mkuu Boeing 747 , ulifanikiwa kupata hii service ya kusafisha fuel injector? Click to expand... Nenda DAS Bosch wapo karibu na Azam Milling, Tazara. Au Vigor Diesel wapo Mbagala Zakheim, karibu na NMB
kayanda01 said: Mkuu Boeing 747 , ulifanikiwa kupata hii service ya kusafisha fuel injector? Click to expand... Nenda DAS Bosch wapo karibu na Azam Milling, Tazara. Au Vigor Diesel wapo Mbagala Zakheim, karibu na NMB