Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Nov 24, 2022 5,642 11,549 Feb 13, 2024 #521 tehe,,,tehe ngoja washuke kwenye mwendo kasi watakujibu. vyura mje mjibu.
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,642 17,589 Feb 13, 2024 #522 Khaaaa amechukua majini yote khaa mpira shida sanaa
redio JF-Expert Member Aug 27, 2016 5,152 11,547 Feb 13, 2024 #523 gekaboy said: Shida ya kufunga ni kwasabbu mayele aliondoka na vitendea Kaz a. k. a majini Click to expand... Na ndio maana mtani alikandwa Tano, kama Yanga itaimarika zaidi mechi ijayo tutegemee goli 10 au zaidi.
gekaboy said: Shida ya kufunga ni kwasabbu mayele aliondoka na vitendea Kaz a. k. a majini Click to expand... Na ndio maana mtani alikandwa Tano, kama Yanga itaimarika zaidi mechi ijayo tutegemee goli 10 au zaidi.