Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #421 Suchack said: homeboy leo umejitutumua sana kijibu hoja ila zote ni poyoyo tu Click to expand... Najua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi
Suchack said: homeboy leo umejitutumua sana kijibu hoja ila zote ni poyoyo tu Click to expand... Najua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #422 Suchack said: Achana na Ball possession waumezenu tunapenda makundi Click to expand... Huko makundi mwaka huu ndio zinarudi zile za kupigwa tano kila mechi
Suchack said: Achana na Ball possession waumezenu tunapenda makundi Click to expand... Huko makundi mwaka huu ndio zinarudi zile za kupigwa tano kila mechi
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,406 Reaction score 4,841 Oct 18, 2021 #423 Insigne said: Najua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi Click to expand... Ukweli ni kwamba Simba SC ndio timu pekee inayowakilisha vyema nchi yetu kimataifa
Insigne said: Najua ukweli unao moyoni mkuu kuhusu timu yako ya kihindi Click to expand... Ukweli ni kwamba Simba SC ndio timu pekee inayowakilisha vyema nchi yetu kimataifa
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #424 Suchack said: Mkuu unatumia nguvu nyingi sana, Utopolo wenye akili ni Mzee Jk na Mzee Manara Click to expand... Ismael Aden Rage once said "mbumbumbu "
Suchack said: Mkuu unatumia nguvu nyingi sana, Utopolo wenye akili ni Mzee Jk na Mzee Manara Click to expand... Ismael Aden Rage once said "mbumbumbu "
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #425 Suchack said: Ukweli ni kwamba Simba SC ndio timu pekee inayowakilisha vyema nchi yetu kimataifa Click to expand... Inatuwakilisha vyema kwa kupigwa tano tano ktk hatua za makundi
Suchack said: Ukweli ni kwamba Simba SC ndio timu pekee inayowakilisha vyema nchi yetu kimataifa Click to expand... Inatuwakilisha vyema kwa kupigwa tano tano ktk hatua za makundi
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,406 Reaction score 4,841 Oct 18, 2021 #426 Insigne said: Huko makundi mwaka huu ndio zinarudi zile za kupigwa tano kila mechi Click to expand... Ngoja tusubiri maana maneno haya tulisha zoea hata last season ilikuwa hivi hivi
Insigne said: Huko makundi mwaka huu ndio zinarudi zile za kupigwa tano kila mechi Click to expand... Ngoja tusubiri maana maneno haya tulisha zoea hata last season ilikuwa hivi hivi
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #427 Suchack said: Wewe ni hasara kwa Familia yako na Taifa kwa ujumla Click to expand... Sawa timu ya wavunja kuni na wakata miwa, mara ooooooooh sisi tuna pira Biriani, now mnavunja kuni tu uwanjani
Suchack said: Wewe ni hasara kwa Familia yako na Taifa kwa ujumla Click to expand... Sawa timu ya wavunja kuni na wakata miwa, mara ooooooooh sisi tuna pira Biriani, now mnavunja kuni tu uwanjani
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,406 Reaction score 4,841 Oct 18, 2021 #428 Insigne said: Inatuwakilisha vyema kwa kupigwa tano tano ktk hatua za makundi Click to expand... Baada ya kupigwa tano tano mwisho ikawaje?
Insigne said: Inatuwakilisha vyema kwa kupigwa tano tano ktk hatua za makundi Click to expand... Baada ya kupigwa tano tano mwisho ikawaje?
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #429 Suchack said: Ngoja tusubiri maana maneno haya tulisha zoea hata last season ilikuwa hivi hivi Click to expand... Dalili ya mvua ni mawingu, na zile Goal tano tano dalili zake zimeanza kuonekana
Suchack said: Ngoja tusubiri maana maneno haya tulisha zoea hata last season ilikuwa hivi hivi Click to expand... Dalili ya mvua ni mawingu, na zile Goal tano tano dalili zake zimeanza kuonekana
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,406 Reaction score 4,841 Oct 18, 2021 #430 Insigne said: Sawa timu ya wavunja kuni na wakata miwa, mara ooooooooh sisi tuna pira Biriani, now mnavunja kuni tu uwanjani Click to expand... hizo kuni zetu ndio zinatupeleka makundi,nyie endeleeni kutafuta muunganiko
Insigne said: Sawa timu ya wavunja kuni na wakata miwa, mara ooooooooh sisi tuna pira Biriani, now mnavunja kuni tu uwanjani Click to expand... hizo kuni zetu ndio zinatupeleka makundi,nyie endeleeni kutafuta muunganiko
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #431 Suchack said: Baada ya kupigwa tano tano mwisho ikawaje? Click to expand... Ukaanza kupulizia dawa za kuwamaliza nguvu wapinzani kwenye vyumba vya kubadilishia nguvu
Suchack said: Baada ya kupigwa tano tano mwisho ikawaje? Click to expand... Ukaanza kupulizia dawa za kuwamaliza nguvu wapinzani kwenye vyumba vya kubadilishia nguvu
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #432 Suchack said: hizo kuni zetu ndio zinatupeleka makundi,nyie endeleeni kutafuta muunganiko Click to expand... Huu mwaka huko makundi hamna chochote mtafanya kwa kikosi hiki nyie makolo bwenzi zaidi ya kupata zile Goal tano tano
Suchack said: hizo kuni zetu ndio zinatupeleka makundi,nyie endeleeni kutafuta muunganiko Click to expand... Huu mwaka huko makundi hamna chochote mtafanya kwa kikosi hiki nyie makolo bwenzi zaidi ya kupata zile Goal tano tano
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,406 Reaction score 4,841 Oct 18, 2021 #433 Insigne said: Ukaanza kupulizia dawa za kuwamaliza nguvu wapinzani kwenye vyumba vya kubadilishia nguvu Click to expand... Hizo zinaitwa mbinu za kivita
Insigne said: Ukaanza kupulizia dawa za kuwamaliza nguvu wapinzani kwenye vyumba vya kubadilishia nguvu Click to expand... Hizo zinaitwa mbinu za kivita
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #434 Suchack said: Hizo zinaitwa mbinu za kivita Click to expand... This signifies your poor minded person
Suchack said: Hizo zinaitwa mbinu za kivita Click to expand... This signifies your poor minded person
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #435 ntazana ntazana
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,842 Reaction score 3,272 Oct 18, 2021 #436 Insigne said: ntazana ntazana Click to expand... Una roho ya kichawi!! Mxuuu
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,842 Reaction score 3,272 Oct 18, 2021 #437 Insigne said: ntazana ntazana Click to expand... Ila mashabiki wa uto wengi mna roho za kwann sikushangai.
Insigne said: ntazana ntazana Click to expand... Ila mashabiki wa uto wengi mna roho za kwann sikushangai.
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #438 ntazana ntazana said: Una roho ya kichawi!! Mxuuu Click to expand... ntazana ntazana said: Ila mashabiki wa uto wengi mna roho za kwann sikushangai. Click to expand... Roho ya kisokolokwinyo na kinyongolilo
ntazana ntazana said: Una roho ya kichawi!! Mxuuu Click to expand... ntazana ntazana said: Ila mashabiki wa uto wengi mna roho za kwann sikushangai. Click to expand... Roho ya kisokolokwinyo na kinyongolilo
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #439 Mwenyekiti Kamati ya roho mbaya
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 18, 2021 #440 Kamati ya kuwasagia kunguni