Thanks God u have got a very weak opponent,Bingwa wa SA n mamelod, bingwa wa congo ni Tp ,mazembe, maniema kapata nafasi baada ya vita kupokonywa point, Libya imeletea timu hapa, tunajua kilicho tokea, Endeleen na hii mentality yenu ya hovyo , endeleen tu [emoji23][emoji23][emoji23], tumemaliza mbele ya Al ahly last year kwenye group, two seasons back tumemaliza nafasi ya pili nyuma ya Al ahly huyo huyo, last time funafungwa nyumban kwenye champions league ni 2011 kama sio 2012, ndani ya misimu minne hii tumesuluhu mechi mbili tu taifa, Vs Ud songo na robo final vs Tp mazembe, wengine wooote tumepiga. Galaxy nae akija hapa it's just another victim tu kama wengine, Meenda kukusanya nusu ya kikos As vita, wanao malizaga wa mwisho group stage, tumemchapa mara 3 mfululizo champions league , endeleen kujidanganya tu, siku mkishtuka tutawapokea kwa mikono miwil tusaidiane kupeperusha Bendera ya taifa
Lkn wakati huu Wakat huu tunapepea huko dunian nyie kila timu endeleen kuuitq dhaifu, wakitufunga wanajua
.. ya sasa ina wachezaji bora zaidi. wachezaji 16 kwenye timu za mataifa matano.
Kwani Uto mlicheza na nani? Rivers!!Hao wamecheza na nani?, halafu na ww umecheza na nani?
And thanks God coz weak Rivers Utd got Uto Utd the weakest of the weakSo, Thanks God coz that was to much weak
Thanks God u have got a very weak opponent,
Mara ya mwisho kuchezwa ligi ya Botswana ilikuwa ni March 2020 hadi leo, unategemea nini kutoka kwa huyo mpinzani?
We nyani kubwa unasema na wewe ni weak kwa wanaijeria wakina Igweee[emoji3][emoji3][emoji3]Thanks God u have got a very weak opponent,
Mara ya mwisho kuchezwa ligi ya Botswana ilikuwa ni March 2020 hadi leo, unategemea nini kutoka kwa huyo mpinzani?
Wamepata vipi mwakilishi champions league kama hawachez?Thanks God u have got a very weak opponent,
Mara ya mwisho kuchezwa ligi ya Botswana ilikuwa ni March 2020 hadi leo, unategemea nini kutoka kwa huyo mpinzani?
Rudia kusoma ulichokiandikaKwani Uto mlicheza na nani? Rivers
And thanks God coz a week Rivers Utd got Uto Utd the weakest of the weak
Mpk sasa vipimo vya ubora wenu unajulikana baada kucheza mechi nne mfululizo kwa kupigwa 3 na kushinda mojaSasa kama tangu Mwezi March hawajacheza ligi yao sisi inatuhusu nini??? Unatuambia ili iweje sasa??? Simba ndio waliwaambia wasicheze ligi???? Walishikwa miguu na Simba wasicheze???? Acha hoja dhaifu wewe kabla ya kucheza na Simba wamecheza mechi 8 za maana za uhakika.
Subiri ijumapili uone tutakacho wafanyia hawa MASHOGA ZENU WA SINZA.
Simba ni weak kwa Tp mazembe, Yanga na Biashara na ndio hizo mkapigwa ila huko kwa Galaxy ni kupiga Bomu mochari na kujisifu umeuaWe nyani kubwa unasema na wewe ni weak kwa wanaijeria wakina Igweee[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kama sasa ligi isimamishwe na isichezwe wakati polisi Tanzania akiwa juu ya msimamoWamepata vipi mwakilishi champions league kama hawachez?
Yani ligi ya mwaka jana mwakilishi awakilishe mwaka jana na mwaka huu?Ni kama sasa ligi isimamishwe na isichezwe wakati polisi Tanzania akiwa juu ya msimamo
Kwahyo kwasasa Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
Tumepigwa mechi tatu [emoji23][emoji23][emoji23] hebu zitajeMpk sasa vipimo vya ubora wenu unajulikana baada kucheza mechi nne mfululizo kwa kupigwa 3 na kushinda moja
Tp mazembe, Yanga, Biashara Dodoma na hapa ndio ubora wenu ulipo huko kwa Galaxy kupiga bomu mochwari
Usijifche kwenye kichaka cha Jwaneng ,Nakukumbusha tu kesho Utopolo mnacheza mechi yenu ya round ya pili ya CAF Champions league huko Songea.Mpk sasa vipimo vya ubora wenu unajulikana baada kucheza mechi nne mfululizo kwa kupigwa 3 na kushinda moja
Tp mazembe, Yanga, Biashara Dodoma na hapa ndio ubora wenu ulipo huko kwa Galaxy kupiga bomu mochwari
Ligi yao Botswana ina bingwa wa 2019-2020Yani ligi ya mwaka jana mwakilishi awakilishe mwaka jana na mwaka huu?
Nyie kweli utopolo
Kwahyo mlipigwa mechi ngapi? NikumbusheTumepigwa mechi tatu [emoji23][emoji23][emoji23] hebu zitaje
Kipimo chenu makolo bwenzi ni mechi ya Tp mazembe mlipigwa vumbi, mechi ya Yanga mlipigwa vumbi tena na Biashara nusura mpewe kichurachuraUsijifche kwenye kichaka cha Jwaneng ,Nakukumbusha tu kesho Utopolo mnacheza mechi yenu ya round ya pili ya CAF Champions league huko Songea.
Tulia unatia aibu. Yani roho inakutoka badala uwaambie timu yako wajitahidi msimu ujao kama watafuzu any way. Achana na Simba kaka utapata stress ushindwe kumpa haki yake wifi yetu. Simba ni ingine mzee baba. Mnaposema timu mbovu mnaamsha ari ya kupambana nyie endeleeni tuu mwisho wa siku msitafute mchawi.Amazulu, As maniema, AL ittihad Tripoli mabingwa hawa wa Libya ndio uwafananishe na hawa Galaxy ambao hata kupiga mpira hawawezi, physic hawana
Haupo serious kabisa bt u have to aacept your lucky of getting weak opponent
Si nyie ndo wazee wa ulozi yani ulozi wenu woteee mnamalizia kwa simba yani ni bora mlale uchi ili muwafunge simba. Mm nawaambiaa endeleeni maaana hamtakaa muonekane kwny duru za kimataifa mtacheza kwenye madimbwi yenu mlimozoea.Kipimo chenu makolo bwenzi ni mechi ya Tp mazembe mlipigwa vumbi, mechi ya Yanga mlipigwa vumbi tena na Biashara nusura mpewe kichurachura
Narudia tena, Mmepiga bomu mochwari na kujisifu mmeua
Timu mbovu hata ipambane vipi haiwezi kubadilika, kwani ubovu wenu umeanza kwenye mechi ya jana tuTulia unatia aibu. Yani roho inakutoka badala uwaambie timu yako wajitahidi msimu ujao kama watafuzu any way. Achana na Simba kaka utapata stress ushindwe kumpa haki yake shemeji yetu. Simba ni ingine mzee baba. Mnaposema timu mbovu mnaamsha ari ya kupambana nyie endeleeni tuu mwisho wa siku msitafute mchawi.
Au sioSiku hizi Utopolo ni bao moja chaliii yani wakifunga kimoja basiiii. Sijui nguvu zinawaishiaga