Wewe kweli topolo. Hatua kama hii simba akiwa away alifungwa na nkana, alifungwa na platinum ila mwisho wa siku nadhani unajua...unajitesa bure topolo.
Wewe kweli topolo. Hatua kama hii simba akiwa away alifungwa na nkana, alifungwa na platinum ila mwisho wa siku nadhani unajua...unajitesa bure topolo.
Kushinda.....tena Away sio kitu Kidogo, Kongole Simba...!
Sasa nyie Utopolo Bakini na Msukule Wenu ukijitahidi kuwaanisha kuwa mna Timu nzuri Wakati mmetolewa Mzunguko Wa Awali CL Afrika.
Mmezoea mbeleko kwenda kimataifa ,hivi hamwoni aibu?mfano CAF ikabadili Sheria kwamba anayebebwa kwenda kimataifa lazima afumuliwe kwanza marinda ndo abebwe mtafanyaje