L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,073 Reaction score 2,812 Oct 17, 2021 #201 Insigne said: Jwaneng alimtoa nani hatua ya kwanza? Click to expand... Dfc ya Jamhuri ya Afrika ya Kati. Nyie mlitolewa na nani au umesahau kama mmeshiriki kwenye Klabu Bingwa Afrika ?mwaka huu?
Insigne said: Jwaneng alimtoa nani hatua ya kwanza? Click to expand... Dfc ya Jamhuri ya Afrika ya Kati. Nyie mlitolewa na nani au umesahau kama mmeshiriki kwenye Klabu Bingwa Afrika ?mwaka huu?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 17, 2021 #202 Ushindi wa SSC kuna wengine watanuna
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Oct 17, 2021 #203 Gide MK said: Ndiyo ushangae akili za Makolo kumsifia mchezaji wa hivyo Click to expand... Wa kwako walio champion league wapo JIKONI WANAKUNA NAZI
Gide MK said: Ndiyo ushangae akili za Makolo kumsifia mchezaji wa hivyo Click to expand... Wa kwako walio champion league wapo JIKONI WANAKUNA NAZI
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,247 Reaction score 123,619 Oct 17, 2021 #204 Dhamana ya kuombea mkopo imetoka rasmi, huitaji kwenda serikali ya mtaa wala kuapa mahakamani just a single clip below Your browser is not able to display this video.
Dhamana ya kuombea mkopo imetoka rasmi, huitaji kwenda serikali ya mtaa wala kuapa mahakamani just a single clip below Your browser is not able to display this video.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Oct 17, 2021 #205 Dk Ya 60
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 17, 2021 #206 Benchi lina kazi ya kufanya kwenye hiki kikosi mwaka huu Mark my words
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Oct 17, 2021 #207 Insigne said: Hii timu mara ya mwisho kucheza ligi ni mwezi March 2020, na inamfanya simba kustruggle hivi Aisee Andaeni lawama huko mbele kwa hii timu yenu Click to expand... Kwan yenu mara ya mwisho lini. Na iko wap now. ZEZETA WW
Insigne said: Hii timu mara ya mwisho kucheza ligi ni mwezi March 2020, na inamfanya simba kustruggle hivi Aisee Andaeni lawama huko mbele kwa hii timu yenu Click to expand... Kwan yenu mara ya mwisho lini. Na iko wap now. ZEZETA WW
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,676 Reaction score 5,379 Oct 17, 2021 #208 Naiyona tofauti Kati ya Simba na Yanga! Simba ni timu kubwa inaongoza goli mbili lakini huoni wakipoteza muda kujiangusha na kujilaza bila sababu,Ila wangekuwa manyani.mpira ungekuwa umeahapoteza Radha yake.
Naiyona tofauti Kati ya Simba na Yanga! Simba ni timu kubwa inaongoza goli mbili lakini huoni wakipoteza muda kujiangusha na kujilaza bila sababu,Ila wangekuwa manyani.mpira ungekuwa umeahapoteza Radha yake.
B bobefu zoefu JF-Expert Member Joined Feb 15, 2018 Posts 567 Reaction score 425 Oct 17, 2021 #209 Kurunzi said: Simba msipojipigia magoli yakutosha basi tena, tmu kibonde hii Click to expand... Mumebadilisha msemo
Kurunzi said: Simba msipojipigia magoli yakutosha basi tena, tmu kibonde hii Click to expand... Mumebadilisha msemo
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,247 Reaction score 123,619 Oct 17, 2021 #210 Bado hamjaona sababu ya TFF kuiaetia viporo simba?
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Oct 17, 2021 #211 Dk Ya 70..... Bado Jwaneng wako nyuma kwa 2 - 0
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Oct 17, 2021 #212 Air Manula anapangua....Wanapoteza hapa
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Oct 17, 2021 #213 Dk Ya 80....
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,436 Oct 17, 2021 #215 Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi
Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,681 Oct 17, 2021 #216 Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... Hahahahaaaa Mapokezi yenu ruvuma yameisha?
Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... Hahahahaaaa Mapokezi yenu ruvuma yameisha?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,247 Reaction score 123,619 Oct 17, 2021 #217 Mpira ungeisha tu, wachezaji wetu hawajazoea kucheza usiku
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,391 Reaction score 3,373 Oct 17, 2021 #218 ofisa said: Click to expand... Yule wa uto wa mishale imekuwaje hayapo!
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,247 Reaction score 123,619 Oct 17, 2021 #219 Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... halafu kombe linaenda msimbazi tena na mwakani tunawabeba club bingwa afu mfakishe tena
Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... halafu kombe linaenda msimbazi tena na mwakani tunawabeba club bingwa afu mfakishe tena
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 17, 2021 #220 Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... Endeleeni kukamia mechi
Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... Endeleeni kukamia mechi