KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,187 Reaction score 4,422 Oct 1, 2021 #101 Leo nimepata picha kuwa Uto wanacheza mechi za Simba. Naona kuna dalili Wanalazimisha Simba kukosa ubingwa kwa nguvu zote.
Leo nimepata picha kuwa Uto wanacheza mechi za Simba. Naona kuna dalili Wanalazimisha Simba kukosa ubingwa kwa nguvu zote.
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 1,010 Reaction score 2,526 Oct 1, 2021 #102 Dp800 said: Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana Click to expand... Luc Eymael hakukosea kabisa, nyinyi ni wapumbavu na hamjui chochote kuhusu mpira
Dp800 said: Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana Click to expand... Luc Eymael hakukosea kabisa, nyinyi ni wapumbavu na hamjui chochote kuhusu mpira
Ninja assasin JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 2,983 Reaction score 6,783 Oct 1, 2021 #103 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mtu kamfuata kumpinga mtu unasema sio faulo kosa lipo kwa refa kuchelewa kufanya maamuzi tu ila straight red card ni sahii kabisa
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mtu kamfuata kumpinga mtu unasema sio faulo kosa lipo kwa refa kuchelewa kufanya maamuzi tu ila straight red card ni sahii kabisa
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,281 Oct 1, 2021 #104 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... We kweli kiazi
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... We kweli kiazi
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,522 Reaction score 6,070 Oct 1, 2021 #105 Dp800 said: Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana Click to expand... Hivi kupigwa kiwiko ni kugongana? Huko kugongana umeona wapi ewe utopolo
Dp800 said: Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana Click to expand... Hivi kupigwa kiwiko ni kugongana? Huko kugongana umeona wapi ewe utopolo
Jumbe Brown JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 12,035 Reaction score 12,805 Oct 1, 2021 #106 Refa anauharibu huu mpira.... Anashindwa kuchukua maamuzi ya haraka..... Yale madhambi aliyofanyiwa SAKHO yalistahili hata kadi ya njano.... #MbeleDaimaNyumaMwiko
Refa anauharibu huu mpira.... Anashindwa kuchukua maamuzi ya haraka..... Yale madhambi aliyofanyiwa SAKHO yalistahili hata kadi ya njano.... #MbeleDaimaNyumaMwiko
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Oct 1, 2021 #107 John boko anachukua nafasi ya islael mwenda
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Oct 1, 2021 #108 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Yaani wewe unajua kuliko yule aliye ndani anachezesha. Au unataka mtu achezewe foul mpaka afe?
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Yaani wewe unajua kuliko yule aliye ndani anachezesha. Au unataka mtu achezewe foul mpaka afe?
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #109 Haya sasa hapa wanasimba tunaweza kushinda hii game baada hawa Dodoma Jiji kupungua uwanjani, tofauti na hapo hii tulikuwa tunafungwa Twendeni tukashinde kipindi cha pili wanasimba wenzangu baada ya refa kurahisisha kazi
Haya sasa hapa wanasimba tunaweza kushinda hii game baada hawa Dodoma Jiji kupungua uwanjani, tofauti na hapo hii tulikuwa tunafungwa Twendeni tukashinde kipindi cha pili wanasimba wenzangu baada ya refa kurahisisha kazi
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Oct 1, 2021 #110 ChamasonMorisonBwalyason said: Mpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zile Click to expand... Yes. Huyo wa pili anaitwa Hoza. Ndio kasababisha Sakho kutolewa. Vilevile kamchezea rafu HD
ChamasonMorisonBwalyason said: Mpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zile Click to expand... Yes. Huyo wa pili anaitwa Hoza. Ndio kasababisha Sakho kutolewa. Vilevile kamchezea rafu HD
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,391 Reaction score 3,373 Oct 1, 2021 #112 Dp800 said: Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana Click to expand... Wewe ulikuwa karibu na eneo la tukio kuliko ref ?
Dp800 said: Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana Click to expand... Wewe ulikuwa karibu na eneo la tukio kuliko ref ?
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Oct 1, 2021 #113 Kumbe tatizo sio Viwanja ila timu lenu ni bovu.
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Oct 1, 2021 #114 Darmian said: Umeshawishiwa na nani?..au wewe mwenyewe tu? Click to expand... mimi ndiyo nimeshawishi wenzangu
Darmian said: Umeshawishiwa na nani?..au wewe mwenyewe tu? Click to expand... mimi ndiyo nimeshawishi wenzangu
Mbobo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 1,396 Reaction score 1,822 Oct 1, 2021 #115 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mkuu ebu angalia apa je wamegongana au ni kiwiko? Tuache mahaba sometime Your browser is not able to display this video. Attachments VID-20211001-WA0013.mp4 943.7 KB
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mkuu ebu angalia apa je wamegongana au ni kiwiko? Tuache mahaba sometime Your browser is not able to display this video.
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Oct 1, 2021 #117 Dk 63 Thadeo Lwanga anatoka Kagere na dunkan nyoni wanaingia
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Oct 1, 2021 #118 Gooooooooooalllllll
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,423 Reaction score 11,439 Oct 1, 2021 #119 TAYARI ka moko
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Oct 1, 2021 #120 Kagere anafunga bao la kwanza