Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,717 Reaction score 44,105 Oct 1, 2021 #81 Ushindi wa red card
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Oct 1, 2021 #82 timu mbovu ni timu mbovu tu.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 1, 2021 #83 Frank Wanjiru said: Ushindi wa red card Click to expand... Tulia uto
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,563 Reaction score 57,888 Oct 1, 2021 #84 Hii timu tukafungie mandazi takataka hizi Mwamedi mwamedi nimekuita mara mbili hi timu mtapata aibu Sana msimu huu.
Hii timu tukafungie mandazi takataka hizi Mwamedi mwamedi nimekuita mara mbili hi timu mtapata aibu Sana msimu huu.
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Oct 1, 2021 #85 Dodoma Jiji wamekamia sana. Walitakiwa mpaka sasa wawili wawe wamekula red. Huyo Hoza anacheza rough sana
Dodoma Jiji wamekamia sana. Walitakiwa mpaka sasa wawili wawe wamekula red. Huyo Hoza anacheza rough sana
Dp800 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 2,290 Reaction score 4,633 Oct 1, 2021 #86 Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,018 Oct 1, 2021 #87 Frank Wanjiru said: Ushindi wa red card Click to expand... Unateseka sana na mifaulo yenu hahaahah
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,522 Reaction score 6,070 Oct 1, 2021 #88 technically said: Hii time tukafungie mandazi takataka hizi Click to expand... Tulia utopolo
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Oct 1, 2021 #89 Mtoto halali na hela said: Umekaa cha wapi Click to expand... Siri za kambi hizo sasa
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,018 Oct 1, 2021 #90 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zile
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zile
Curtis G JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 415 Reaction score 545 Oct 1, 2021 #91 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief!
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief!
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,522 Reaction score 6,070 Oct 1, 2021 #92 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Acha ushabiki maandazi ile ni red hujaona kiwiko cha makusudi kabisa
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Acha ushabiki maandazi ile ni red hujaona kiwiko cha makusudi kabisa
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,018 Oct 1, 2021 #93 technically said: Hii timu tukafungie mandazi takataka hizi Mwamedi mwamedi nimekuita mara mbili hi timu mtapata aibu Sana msimu huu. Click to expand... Utapona tu muda sio mrefu mjiandae kulia lia kama kawaida yenu
technically said: Hii timu tukafungie mandazi takataka hizi Mwamedi mwamedi nimekuita mara mbili hi timu mtapata aibu Sana msimu huu. Click to expand... Utapona tu muda sio mrefu mjiandae kulia lia kama kawaida yenu
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 1,010 Reaction score 2,526 Oct 1, 2021 #94 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mtopolo huna akili kabisa Kiwiko ni straight red
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Mtopolo huna akili kabisa Kiwiko ni straight red
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,289 Reaction score 5,741 Oct 1, 2021 #95 Ile project ya 15M italeta shida kwa hizi timu. Uto badilini project hii upesi
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,297 Reaction score 46,755 Oct 1, 2021 #96 Simara said: Nipo Uwanjani najuta bora ningeenda tu kutembea sehemu nyingine Click to expand... Umeshawishiwa na nani?..au wewe mwenyewe tu?
Simara said: Nipo Uwanjani najuta bora ningeenda tu kutembea sehemu nyingine Click to expand... Umeshawishiwa na nani?..au wewe mwenyewe tu?
Dp800 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 2,290 Reaction score 4,633 Oct 1, 2021 #97 Curtis G said: Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief! Click to expand... Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
Curtis G said: Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief! Click to expand... Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
orturoo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,960 Reaction score 4,929 Oct 1, 2021 #98 Simara said: mwaka wetu huu Click to expand... Karibu nyumbani kumenoga
P Pisila JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,842 Reaction score 3,272 Oct 1, 2021 #99 Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Khaaa acha ushabiki
Dp800 said: Red card ya uonevu Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa Click to expand... Khaaa acha ushabiki
Quinine Mwitu JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 5,530 Reaction score 6,119 Oct 1, 2021 #100 Ngapi ngapi huko,mi naangalia mpira kupitia jf Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ngapi ngapi huko,mi naangalia mpira kupitia jf Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app