Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #201 Simba na ushindi wa makandokando
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Oct 1, 2021 #202 Insigne said: Mbona ni kawaida kwa simba kushinda baada ya wapinzani kupunguzwa, tofauti na hapo nothing new to this club Click to expand... mtateseka sana
Insigne said: Mbona ni kawaida kwa simba kushinda baada ya wapinzani kupunguzwa, tofauti na hapo nothing new to this club Click to expand... mtateseka sana
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Oct 1, 2021 #203 Insigne said: Simba na ushindi wa makandokando Click to expand... Acha wivu babu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 1, 2021 #204 Prince Kunta said: Nikiwa makolo fc Click to expand... Kusanya jezi ukafue
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #205 pandagichiza said: Wajitahidi wasiwe wanapunguzwa Click to expand... Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake
pandagichiza said: Wajitahidi wasiwe wanapunguzwa Click to expand... Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,463 Reaction score 7,072 Oct 1, 2021 #206 Prince Kunta said: Makolo Click to expand... Ungeingia wewe uwanjani ukaongeze nguvu mana roho imekuuma leo simba kushinda kama umefiwa na baba mzazi,, relax homeboy this is football
Prince Kunta said: Makolo Click to expand... Ungeingia wewe uwanjani ukaongeze nguvu mana roho imekuuma leo simba kushinda kama umefiwa na baba mzazi,, relax homeboy this is football
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #207 Depal said: Acha wivu babu Click to expand... Sio wivu, hii ni roho ya kisokolokwinyo
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Oct 1, 2021 #208 KANYIMBI said: Hili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake. Timu za saizi yake zinaondoka na points zote. Click to expand... Ndio maana walipewa 10m
KANYIMBI said: Hili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake. Timu za saizi yake zinaondoka na points zote. Click to expand... Ndio maana walipewa 10m
Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,157 Reaction score 2,663 Oct 1, 2021 #209 Kifupi mpira umepigwa pakubwa na Simba
Iblis Bin Shetan JF-Expert Member Joined Sep 24, 2018 Posts 1,854 Reaction score 2,474 Oct 1, 2021 #210 Insigne said: Simba na ushindi wa makandokando Click to expand... Na bado
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #211 Iblis Bin Shetan said: Na bado Click to expand... Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo
Iblis Bin Shetan said: Na bado Click to expand... Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,525 Reaction score 6,073 Oct 1, 2021 #212 Insigne said: Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake Click to expand... Je utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume?
Insigne said: Sasa watajitahidi vipi wakati akiguswa tu mchezaji wa Simba basi timu pinzani anakula card, mwanaume anashida bila kumdhoofisha mwenzake Click to expand... Je utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume?
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #213 man dunga said: Je utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume? Click to expand... Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti
man dunga said: Je utopolo inapopita mageti yasio rasmi kuingia uwanjani ni uanaume? Click to expand... Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #214 Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,525 Reaction score 6,073 Oct 1, 2021 #215 Insigne said: Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti Click to expand... Kwenye pitch bila refa eti utopolo?
Insigne said: Mpira unachezwa kwenye pitch ww kolo na sio kwenye mageti Click to expand... Kwenye pitch bila refa eti utopolo?
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #216 man dunga said: Kwenye pitch bila refa eti utopolo? Click to expand... Wewe kolo jike, Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
man dunga said: Kwenye pitch bila refa eti utopolo? Click to expand... Wewe kolo jike, Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani?
M man dunga JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,525 Reaction score 6,073 Oct 1, 2021 #217 Insigne said: Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani? Click to expand... Shabiki maandazi unajiandikia tu pumba.
Insigne said: Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani? Click to expand... Shabiki maandazi unajiandikia tu pumba.
Iblis Bin Shetan JF-Expert Member Joined Sep 24, 2018 Posts 1,854 Reaction score 2,474 Oct 1, 2021 #218 Insigne said: Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo Click to expand... Utopolo tatizo lenu hamna uelewa wa mpira ligi ndio tumeanza hapa najua mtawapa TFF lawama mpaka msimu unaisha Simba mnyama gari lishawaka kila atakaekuja mbele kichapo na hizo kadi utaziona sana kwa Mnyama hutaki kachezeshe wewe
Insigne said: Basi tambueni hii ndo red card ya mwisho kuwapa timu pinzani ili mshinde makolo Click to expand... Utopolo tatizo lenu hamna uelewa wa mpira ligi ndio tumeanza hapa najua mtawapa TFF lawama mpaka msimu unaisha Simba mnyama gari lishawaka kila atakaekuja mbele kichapo na hizo kadi utaziona sana kwa Mnyama hutaki kachezeshe wewe
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,391 Reaction score 3,373 Oct 1, 2021 #219 topolo unatanaka viwiko viruhusiwe mechi za SSc Insigne said: Wewe kolo jike, Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani? Click to expand...
topolo unatanaka viwiko viruhusiwe mechi za SSc Insigne said: Wewe kolo jike, Mali inabidi ipigwe kila mmoja katimia ndani ya pitch hadi dakika ya mwisho na hapo ndo mwanaume anajulikana ni nani? Click to expand...
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 1, 2021 #220 man dunga said: Shabiki maandazi unajiandikia tu pumba. Click to expand... Katika mechi 30 basi simba anashinda mechi 20 wakati timu hizo alizoshinda zilikuwa zimepewa redcard hahahaa Na mwaka huu makolo pale hakuna timu, Kilichobaki ni kikosi cha wachimba chumvi na wakata miwa
man dunga said: Shabiki maandazi unajiandikia tu pumba. Click to expand... Katika mechi 30 basi simba anashinda mechi 20 wakati timu hizo alizoshinda zilikuwa zimepewa redcard hahahaa Na mwaka huu makolo pale hakuna timu, Kilichobaki ni kikosi cha wachimba chumvi na wakata miwa