Hii ndio Simba yenye wiki ya saba kuanzia pre season mbaka sasa na msimu huu wa mashindano ya CAF tunatarajia itafika nusu fainal ya Caf champion league.
Hiyo ni project ya utopolo.
Kila timu inayocheza na Simba inaahidiwa dau la milioni 15.
Leo walikusudia kuumiza key players wa Simba.Na kama wakiganikiwa kwa hili,mechi ijayo Simba akafungwa,watapata bakshishi wote waliohusika kufanya hivyo