Nakubari MANENO yako
Kuna wakati lazima ukubari ukweri
Tukikutana na USM tuna kibarua kigumu
7bu katika mashindano yote tangu tulipoanza sijaona timu ambayo yanga inekutana nayo kwanza ambayo inachezaa kitimu morali ya juu na ushirikiano wa kuelewana vizuri USM wanacheza vizuri sana wanelewana hii SILAHA kubwa sana ndio mana wanashambulia kwa speed na hawapotezi mipila kizembe
MAYELE kwenye mechi mbili za nusu ndio kaonesh anagalau kidogo kucheza kitimu
Kama tukikutana na hawa USM
Halafu alete habari zake za kichoyo kutaka kushinda yeye
Atapokonywa mpila kama mtoto kama wanavyofanyiwa wasahambuliajo wa ASEC hapa
Yaan mabeki wa USM wanapiga chenga mpk golini kwao dah ! hawa jamaa wanawachukuliaje ASEC yaan
Mzee mwenzangu mimi ni YANGA DAMUSasa hao wanacheza nusu fainali leo,
Asec kafungwa goli tatu kwa sifuri na Rivers ( katolewa na Yanga)
Na Huyo USM kafungwa goli mbili kwa sifuri na Marumo ( katolewa na Yanga)
Msione timu zilizofungwa na Yanga zimefika hapo ki Mungu tu, kama mnawaona hao wanacheza saivi ndio timu bora zaidi katika michuano hii basi tambua hizo timu zote zimefungwa na timu ambazo zimefungashiwa virago na Yanga
Usijali mkuuTuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Mkuu mbona hii timu ni ya kawaida sana, hizo speed zao unazoongelea mbona hazijawaletea magoli? 1-0 paka Dak 75 halafu unawapa sifa kiasi hiki?Mzee mwenzangu mimi ni YANGA DAMU
naongea kutokana na mfumo na uchezaji wa USM kama atapiga pila iliili yanga inakibarua kigumu
Inahitaji mbinu za kiufundi haswa
Kwakuwa YANGA kuna wachezaji wana tabia za kiuchoyo kwa hawa jamaa itatupa wakati mgumu
Wanakaba hatari na mbinu zao za kupokonya mpila si za kitoto
Na wakipata mpila ni kasi ya 5G kutafuta goli
Sasa soka la YANGA la kurelax kwa hawa jamaa
Nakwambia kazi ipo
Mana wanashambulia kwa kasi ya 5G na wanalinda kwa KASI ya 5G ileile
Hizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazo
Tegemea mpira mgumu sana
Kwa kifupi ni kwamba, Yanga ina dance to the tune. Vile unavyokuja inakukabili na kukudhibiti vile ulivyoUtofauti ni upi? Hizo timu zote zilishafungwa magoli zaidi ya moja na timu ambazo Yanga imeshawatoa kwa aggregate ya goli zaidi ya moja.View attachment 2625807View attachment 2625809
ASEC wametulia nowMkuu mbona hii timu ni ya kawaida sana, hizo speed zao unazoongelea mbona hazijawaletea magoli? 1-0 paka Dak 75 halafu unawapa sifa kiasi hiki?
Hatujawahi kufa 'kiume/kwa mbinde'Mkafa kiume
MaeUEFA
76'
Goooooooooooal.
Madrid wanajifunga bao
Kama walipigwa na Marumo watakaa tuMzee mwenzangu mimi ni YANGA DAMU
naongea kutokana na mfumo na uchezaji wa USM kama atapiga pila iliili yanga inakibarua kigumu
Inahitaji mbinu za kiufundi haswa
Kwakuwa YANGA kuna wachezaji wana tabia za kiuchoyo kwa hawa jamaa itatupa wakati mgumu
Wanakaba hatari na mbinu zao za kupokonya mpila si za kitoto
Na wakipata mpila ni kasi ya 5G kutafuta goli
Sasa soka la YANGA la kurelax kwa hawa jamaa
Nakwambia kazi ipo
Mana wanashambulia kwa kasi ya 5G na wanalinda kwa KASI ya 5G ileile
Kile kichaka chenu cha kwamba nyie ndio mnafanya vizuri kimataifa Yanga wanakitia moto taratibuYanga mwaka huu wana zari sana yani wamenifanya nikae ndani muda huu wakati sio kawaida yangu
Shirikisho haijawahi kuwa kimataifa.Kile kichaka chenu cha kwamba nyie ndio mnafanya vizuri kimataifa Yanga wanakitia moto taratibu
Huo mpira wanaocheza USM ndio mpira mpya kwao wameanza kuucheza kwenye mechi ya leo? Inawezekana vipi Marumo aweze kumfunga goli mbili kwa sifuri kwa huo mpira wao halafu Yanga washindwe?Mzee mwenzangu mimi ni YANGA DAMU