Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,915 Reaction score 119,278 Sep 28, 2021 #121 Daudi Mchambuzi said: simba imeisha aisee. Click to expand... Mechi iliyopita waliangusha gunia la lawama kwa Mugalu! Cha kushangaza leo Mugalu hajachezeshwa, lakini bado wanaruka ruka tu uwanjani. Bila shaka watasingizia uwanja! Lakini kiukweli kwa simba hii, wasiposhika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi msimu huu, sijui!!
Daudi Mchambuzi said: simba imeisha aisee. Click to expand... Mechi iliyopita waliangusha gunia la lawama kwa Mugalu! Cha kushangaza leo Mugalu hajachezeshwa, lakini bado wanaruka ruka tu uwanjani. Bila shaka watasingizia uwanja! Lakini kiukweli kwa simba hii, wasiposhika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi msimu huu, sijui!!
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Sep 28, 2021 #122 Dk 90 0:0 Mpira umesimama nyavu imekatika
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Sep 28, 2021 #123 changaule said: Kumbe Simba kuanzisha mpira wa faulo kwa haraka haraka ni sahihi, wameanzisha mpira wa haraka haraka wakati mwamuzi anajisachi kadi kumpa mchezaji wa Biashara. Lakini Biashara nao wameanzisha faulo ya haraka haraka lakini mwamuzi kaikataa Click to expand... nimeshangaa sana.
changaule said: Kumbe Simba kuanzisha mpira wa faulo kwa haraka haraka ni sahihi, wameanzisha mpira wa haraka haraka wakati mwamuzi anajisachi kadi kumpa mchezaji wa Biashara. Lakini Biashara nao wameanzisha faulo ya haraka haraka lakini mwamuzi kaikataa Click to expand... nimeshangaa sana.
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Sep 28, 2021 #124 Penaaaaaaaaaaaaaaat simba
robbinhood JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 538 Reaction score 1,532 Sep 28, 2021 #125 Penaaaaalt, ,
escrow one JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,477 Reaction score 2,873 Sep 28, 2021 #126 Penati janja janja.
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,853 Reaction score 35,588 Sep 28, 2021 #127 Simba kafunga goli la lala salama
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,533 Reaction score 81,264 Sep 28, 2021 #128 Woyoooo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Sep 28, 2021 #129 Tusijekosa tu
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Sep 28, 2021 #130 tungeshinda kwa goal la kawaida mwee sio penalt
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Sep 28, 2021 #131 Huyu beki wa Biashara ni mpumbavu sana
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Sep 28, 2021 #132 Simba anapata penati
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Sep 28, 2021 #133 Mtoto halali na hela said: Tusijekosa tu Click to expand... hamna hatukosi
robbinhood JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 538 Reaction score 1,532 Sep 28, 2021 #134 Aiseee huyu beki wa biashara ni umbwa
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,533 Reaction score 81,264 Sep 28, 2021 #135 Simara said: tungeshinda kwa goal la kawaida mwee sio penalt Click to expand... Points zinakuwa 3 either way.
Simara said: tungeshinda kwa goal la kawaida mwee sio penalt Click to expand... Points zinakuwa 3 either way.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Sep 28, 2021 #136 escrow one said: Penati janja janja. Click to expand... Tulia
Kiweriweri JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 2,391 Reaction score 3,373 Sep 28, 2021 #137 Arovera said: Simba kafunga goli la lala salama Click to expand... mitopolo italakamika sana
Lunatics fringe 5 Member Joined Oct 16, 2018 Posts 94 Reaction score 118 Sep 28, 2021 #138 Bokooooooooooooooooo
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Sep 28, 2021 #139 kakosaaa duuh
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,533 Reaction score 81,264 Sep 28, 2021 #140 Boko mamamaaaaeeee zake