Hii ndio timu iliyokaa pre~season muda mrefu zaidi na kwa mujibu wa wachambuzi ndio timu yenye muunganiko bora zaidi.
~ timu ina midoli
~ timu imesajili vizuri.
~ timu ina magari kama yote.
no chama ,no miquissone.. sasa nd tunaona mbinu halisi za didier gomes da rosa zikoje.. mechi 4 z ligi zinatosha kw uongoz w simba kufnya maamuz kam n koch sahihi w kumaliz nae ligi am wamfukuze.
Simba team yetu haiko sawa bado. Ikichangiwa na kuondoka key players kama Chama na Miquissone pia uchovu wa msimu uliopita upo dhahiri kwa baadhi ya wachezaji.
Maingizo mapya yasilaumiwe wanahitaji muda ku settle in.
no chama ,no miquissone.. sasa nd tunaona mbinu halisi za didier gomes da rosa zikoje.. mechi 4 z ligi zinatosha kw uongoz w simba kufnya maamuz kam n koch sahihi w kumaliz nae ligi am wamfukuze.
Ni kweli sasa hivi hata timu za ligi kuu zote ziko vizuri ,mfano hao biashara wako vizuri ,Dodoma Jiji ,Azam ,Yanga ,KMC .
Ligi ni ngumu hasa mechi za mikoani kutokana na viwanja ,mda bado upo ni mwanzo wa ligi
mimi natazama mapungufu ya Simba kama udhaifu toka aondoke Sven (kishingo) tuwe wawazi Sven aliwasaidia sana katika pattern ya kushinda na timu ilikiwa superior sana.